Je, Manchester United itaweza kulinyakua taji la ligi ya Premia?
Huwezi kusikiliza tena

Je, Manchester United inaweza kulinyakua taji la ligi ya Premia?

Meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer, amesema hataki kuwa miongoni mwa timu nne bora bali kulinyakuwa kombe hilo la ligi ya Premia. United kwa hivi sasa wako katika nafasi ya sita katika ligi hiyo.

Je, Manchester United itaweza kulinyakua taji la ligi ya Premia?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com

Mada zinazohusiana