Jinsi mtumiaji wa dawa za kulevya Jesus alivyonusurika janga la dawa za kulevya nchini Afrika Kusini.
Huwezi kusikiliza tena

Jesus: Jinsi mtumiaji wa dawa za kulevya alivyonusurika janga la dawa za kulevya Afrika Kusini

Dawa ya kulevya iliochanganywa kwa jina nyaope inaharibu maisha ya vijana wadogo katika miji mikuu ya Afrika Kusini.

Ni dawa ya heroin inayochanganywa na sumu ya panya na inaweza kuvutwa kwa kuchanganywa na bangi.

Mwandishi wa BBC Afrika eye Golden Mtika anangazia hadithi ya Jesus.