Msanii anayepigana vita dhidi ya uhalifu Mombasa Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Ohms Law Montana: Msanii anayepigana vita dhidi ya uhalifu Mombasa Kenya

Msanii mmoja wa muziki wa hip hop mjini Kisauni Mombasa ameanza kampeni kwa jina ''Acha Gun Shika Mike'' ili kuwarai wenzake ambao wamejiunga na magenge ya uhalifu kujiunga na sanaa hiyo ya muziki. Msanii huyo kwa jina Ohms law Montana tayari ametoa nyimbo zinazogonga vichwa vya habari katika eneo la pwani ya Kenya. Eneo la kisauni lina vijana wengi waliojiunga na magenge ya uhalifu kutokana na visa vingi vya utumiaji wa mihadarati.

Video: Seif Abdalla Dzungu

Ripoti: Seif Abdalla Dzungu