Akabiliwa na kibarua cha kuamua uhai wa watoto wake
Huwezi kusikiliza tena

Baba akabiliwa na kibarua kigumu kuhusu uhai wa watoto zake pacha

Marieme na Ndeye ni mapacha walioungana. Walizaliwa Senegal,miaka miwili iyopita lakini wanaishi na baba yao, Ibrahima Ndiaye mjini Wales. Bw. Ndiaye anakabiliwa na kibarua kigumu cha kuamua ikiwa awaache watoto hawa wawili kufariki au kuwaruhusu madaktari kuwatenganisha. Kuna hofu kubwa mmoja wao huenda akafariki lakini anasema hawezi kuua mmoja wa watoto wake ili kuyanusuru maisha ya mwingine.

Mada zinazohusiana