Mchekeshaji wa Kisomali Nasra Yusuf 'anazima mitazamo hasi'
Huwezi kusikiliza tena

Nasra Yusuf: mchekeshaji anayebadili mitazamo kuhusu Wasomali

Nasra Yusuf ndiye mchekeshaji wa Kisomali nchini Kenya katika makala ya Churchill Show, mojawapo ya vipindi maarufu vya TV nchini humo. Anajaribu kubadili mtazamo hasi ambao baadhi ya Wakenya wanakuwa nao dhidi ya jamii ya Wasomali. Anaeleza baadhi ya changamoto za kuwa Mchekeshaji, Msomali, mwanamke, na anaeleza namna anavyotumia ucheshi kuangazia mambo ambayo wengine hawapendi yazungumziwe.

Video: Anne Okumu

Mada zinazohusiana