Chui avamia wakaazi kijijini
Huwezi kusikiliza tena

Hofu baada ya chui kuingia katika kijiji na kuwashambulia watu India

Chui huyu aliingia katika kijiji kaskazini mwa jimbo la Punjab nchini India mapema wiki hii, na kusababisha hofu kubwa na kuwajeruhi watu sita kabla ya kukamatwa na kuepelekwa na maafisa wa misitu.