Boti la plastiki kutoka Lamu lafika Zanzibar
Huwezi kusikiliza tena

Boti lililo tengenezwa kwa taka za plastiki Lamu lafika Zanzibar

Boti la kwanza lililotengenzwa kwa taka za plastiki huko Lamu Kenya limefika visiwani Zanzibar. Boti hili liliundwa katika jitihada za kukabiliana na tatizo la taka za plastiki zilizojaa katika ufukwe wa bahari Lamu pwani ya Kenya. Tulikutana na mabaharia wake mwaka mmoja tangu tulipoangazia kuanza kwa ujenzi wake...