Je unahisi mpenzi wako hana muda na wewe?
Huwezi kusikiliza tena

Kuna shida kwenye mahusiano yako? Huenda mnazungumza lugha 'tofauti ya mapenzi'.

Je unahisi mpenzi wako hana muda na wewe? Huenda mnazungumza lugha 'tofauti ya mapenzi'.Kwa mujibu wa mshauri wa masuala ya ndoa Gary Chapman, ambaye pia ni mwandishi wa kitabu cha lugha ya upendo. Kila mtu ana njia yake ya kuonesha upendo. Je lugha yako ya mapenzi ni gani?