Mtoto anayekimbia kwa kasi zaidi kwa kutazama mbio za olimpiki

Mtoto anayekimbia kwa kasi zaidi kwa kutazama mbio za olimpiki

Rudolph 'Blaze' Ingram, mwenye umri wa miaka 7 alianza kukimbia akiwa na miaka mitatu pekee baada ya kuangalia mashindano ya Olimpiki na babake. Kasi yake kwa sasa anapokimbia mbio za 100m ni sekundi 13:48.