Tumaini: Mshairi wa miaka 9 Tanzania anayetaka watoto wajiamini

Tumaini, mtoto wa miaka 9 Tanzania aliye na ndoto na msamiati mkubwa.

Mshairi huyo mdogo alisambaa katika mitandao ya kijamii baada ya kuandika shairi lake kuhusu rais Julius Kambarage Nyerere. Ameielezea BBC kwamba anataka kuwa mfano kwa watoto wengine kupitia ushairi wake.