Mtu anayefuatwa na nyuki kila aendapo

Mtu anayefuatwa na nyuki kila aendapo

Raia wa Ethiopia Gosa Taffese hufuatwa na Nyuki kila aendapo jambo ambalo hawezi kueleza yeye mwenyewe. Imembidi kuwafuga nyuki hao nyumbani mwake na jambo la kushangaza hawamuumi mtu huo.