Kizungumkuti cha mwanamume anayendamwa na nyuki kila anakokwenda

Kizungumkuti cha mwanamume anayendamwa na nyuki kila anakokwenda

Gosa Taffese ana mzinga wa nyuki chumbani kwake na wadudu hao humfuata kila anakokwenda pia.

Amepewa jina “baba nyuki” na wakaazi wa eneo la Oromia nchini Ethiopia, anasema ni kizungumkuti asichokielewa kwanini nyuki wanavutiwa naye.

Video: Yadeta Berhanu and Habtamu Tibebu, BBC News Afaan Oromo