Paris 2024: Muziki unaweza kuboresha mashindano ya Olympiki kuwa ya kisasa zaidi?

Russia's Bumblebee competes at the Youth Olympic Games in Buenos Aires Haki miliki ya picha Getty Images

Mashindano ya kucheza muziki aina ya 'breakdance' yatakuwa miongoni mwa michezo iliyopendekezwa na kamati ya kimataifa ya Olimpiki.

Kiongozi wa kamati hiyo ya maandalizi ya michezo hiyo itakayofanyika mwaka 2024 anasema kutambulisha mashinda ya kucheza muziki katika mtindo wa 'breakdance' pamoja na mchezo wa kuteleza na kuruka,utafanya mashindano hayo kuvutia zaidi.

Mwanzo wa muziki wa 'breaking'

Aina hiyo uchezaji huu ilianza mwaka 1970 huko New york.

Muziki huu una midundo ambayo yanawavutia vijana na ina asili ya Latino.

Mchezo huu ambao unahitaji mtu kutumia viungo vyake kucheza na nguvu pia hutumika.

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Wachezaji wa 'Breakdancers' New York City, 1981

Miondoko hii ya muziki ambayo imedumu tangu miaka ya 1980 na kuendelea kupendwa mpaka sasa.

Haki miliki ya picha Getty Images

Namna gani uchezaji wa breaking unaweza kufanya vizuri katika mashindano ya Olimpiki?

Kama kamati ya kimataifa ya Olimpiki itakubali kuwa mashindano ya mwaka 2024 , mchezo huu unaopendwa na vijana unaweza kuleta mafanikio makubwa.

Mashindano ya mwaka 2018, uligawa wachezaji wanawake na wanaume pamoja na kuchanganya wachezaji wanawake wanaume na wanaume.

Taarifa nyengine kuu:

Haki miliki ya picha Getty Images

Majaji wataangalia nini?

Vigezo ambavyo mashindano ya Olimpiki wataangalia ubora wa mchezaji na uchezaji wake.

Haki miliki ya picha Getty Images
Haki miliki ya picha Getty Images

Mada zinazohusiana

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii