Programu nchini Kenya inayopunguza wasiwasi unaosababishwa na uvumi miongoni mwa jamii

Programu nchini Kenya inayopunguza wasiwasi unaosababishwa na uvumi miongoni mwa jamii

Programu nchini kenya inayopunguza wasiwasi unaosababishwa na uvumi miongoni mwa jamii. John Otunga anafanya kazi katika shirika la Sentinel linalojaribu kuweka amani kati ya jamii za Kenya katika eneo la Tanazriver kwa kutumia teknolojia