Unamsaidia vipi mtoto ajue kusoma na kuandika baada ya masomo ya shule ya msingi Tanzania?

Unamsaidia vipi mtoto ajue kusoma na kuandika baada ya masomo ya shule ya msingi Tanzania?

Ni juhudi gani zifanyike ili kusaidia mtoto kujua kusoma na kuandika akimaliza shule ya msingi nchini Tanzania? Sikiliza Haba na Haba inayoangazia kuhusu kutojua kusoma na kuandika kwa muujibu wa ripoti ya UNESCO: