Kwanini punda milia wana wana mistari kwenye ngozi yao?
Huwezi kusikiliza tena

Madai tofauti yametolewa kujibu swali hili lakini watafiti huenda sasa wamepata jibu sahihi.

Wanasayansi wamekuwa wakijiuliza swali hili kwa zaidi ya mwongo mmoja.

Inasemekana kuwa inawasaidia kujikinga dhidi ya maadui.

Wengine wanadai kuwa inawasaidia kujikinga joto kali.

Lakini watafiti huenda sasa wamepata jibu sahihi.

Mada zinazohusiana