Je, unaweza kuamua kutopata watoto kwa kuhofia mabadiliko ya hali ya hewa?
Huwezi kusikiliza tena

Je, unaweza kuamua kutopata watoto kwa kuhofia mabadiliko ya hali ya hewa?

Blythe Pepino na Alice Brown wanasema wanaogopa kupata watoto kwa sababu ya mabadiliko ya tabia nchi . Wao ni miongoni mwa kundi linalojiita BirthStrike, na walitembelea kipindi maarufu cha BBC cha Victoria Derbyshire kuhusu uoga wao. Je, unaweza kuamua kutopata watoto kwa sababu ya kuogopea mabadiliko ya hali ya hewa? Tupe maoni yako kwenye ukurasa huu wa bbcswahili

Mada zinazohusiana