Aggrey Mwandri: Vioja vya mkuu wa mkoa wa Tabora vinavyosisimua mitandao Tanzania

Aggrey Mwandri: Vioja vya mkuu wa mkoa wa Tabora vinavyosisimua mitandao Tanzania

Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwandri amekuwa akivuma katika mitandao ya kijamii Tanzania kwa matamshi anayotoa yanayosisimua umati anapohutubia. Baadhi hata kuchukua nukuu zake na kuzitumia katika video zilizohaririwa za utani au kejeli.

Je anasema nini kuhusu video zake zinavyotumika?

Video: Eagan Salla