'Tulikuwa tunapendana sana, hadi kifo kikatutenganisha'
Huwezi kusikiliza tena

Ethiopia Airlines: Msiba mara mbili kwa familia ya Abdulghani nchini Kenya

Ndege ya Ethiopia ilioanguka siku ya Jumapili ilmekuwa ni msiba mara mbili kwa familia hii nchini Kenya. Mohamed Ibrahim Abdulghani, kutoka Kibra Nairobi, alikuwa ndani ya ndege hiyo . Alikuwa ameomba muda wa mapumziko kazini Saudi Arabia kuja kumliwaza mkewe aliyefiliwa na kaka yake wiki iliyopita.

Video: Anne Okumu/Anthony Irungu