Caño Cristales: Mto wenye umaarufu kutokana na rangi zake za kuvutia

Caño Cristales: Mto wenye umaarufu kutokana na rangi zake za kuvutia

Caño Cristales ni mto wenye umaarufu kutokana na rangi zake za kuvutia - unageuka kutoka rangi ya njano, kijani, samawati, nyeusi na zaidi nyekundu, hii ikiwa ni kutokana na mmea unaopatikana katika mto huo unaoitwa macarenia clavigera. Una urefu wa 100km na upana usiozidi 20m.