Fahamu miji kumi bora zaidi kuishi duniani ?
Fahamu miji kumi bora zaidi kuishi duniani ?
Una mpango wa kuhama? Kama jibu lako ni ndio, basi video hii itakufaa.
Hii ni miji mizuri zaidi kuishi duniani kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na kampuni ya Mercer kwa kuzingatia vigezo kadhaa vya hali ya maisha.
Kampuni hiyo imelinganisha jumla ya miji 231 duniani kwa kuangazia masuala kama vile, viwango vya uhalifu, elimu, afya, makaazi na uhuru wa kibinafsi.

Video, Caño Cristales: Mto wenye umaarufu kutokana na rangi zake za kuvutia, Muda 2,49
Caño Cristales ni mto wenye umaarufu kutokana na rangi zake za kuvutia - unageuka kutoka rangi ya njano, kijani, samawati, nyeusi na zaidi nyekundu.