Changamoto kwa CUF: Mtaji kwa ACT Wazalendo
Huwezi kusikiliza tena

Maalim Seif Sharif Hamad na viongozi wenzake kukabidhiwa uanachama ACT Wazalendo Tanzania

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, viongozi na wanachama wengine wanaomuunga mkono ndani ya chama hicho leo wanatarajiwa kukabidhiwa uanachama katika Chama cha ACT-WAZALENDO.

Mahakama Kuu ya Tanzania, iliidhinisha uamuzi wa msajili wa vyama vya kisiasa Tanzania kumtambua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyekiti halali wa chama cha CUF hatua iliyopelekea kujiondosha kwa Maalim Seif kutoka chama hicho.

Je hatua hii ni pigo kiais gani kwa CUF na ina maana gani sasa kwa chama cha ACT Wazalendo katika ushawishi wa kisiasa Tanzania ikielekea katika uchaguzi mkuu mwaka 2020?

Mchambuzi wa masuala ya kisiasa Tanzania Said Msonga anatathmini:

Mada zinazohusiana