Hannah Kosinah haruhusiwi kujifungua katika kijiji chake.

Hannah Kosinah haruhusiwi kujifungua katika kijiji chake.

Katika kijiji cha Mafi Dove nchini Ghana ni mwiko kwa wanawake kujifungua watoto.

Wakaazi pia hawaruhusiwi kuwazika wapendwa wao wala kufuga ngombe.

Lakini utamaduni huo unatoka wapi na athari zake ni gani kwa wakaazi wa kijiji hicho?