Zitto Kabwe: Serikali inatafuta sababu za kukifuta chama cha ACT Wazalendo
Huwezi kusikiliza tena

Zitto Kabwe:: Serikali inatafuta sababu za kukifuta chama cha ACT Wazalendo

Chama cha ACT Wazalendo kimefanya mkutano wake makao makuu ya chama hicho baada ya kushindwa kufanya mkutano wao wa ndani wa chama hicho baada ya kuzuiwa na Polisi

Mada zinazohusiana