Wakaazi wa Syria katika milima ya Golan: Hatumtambui Trump wala Netanyahu.
Huwezi kusikiliza tena

Milima ya Golan: Raia wa Syria wasema hatumtambui Trump wala Netanyahu

Waandamanaji hawa wamekasirishwa na Israel pamoja na rais wa Marekani. Wanaishi katika milima ya Golan , kusini magharibi mwa Syria.

Chini ya usimamizi wa Israel. Israel ililiteka eneo hilo kutoka kwa Syria mwaka 1967 na baadaye kulifanya kuwa lake.

Mada zinazohusiana