Babangu aliniuza katika biashara ya ngono nikiwa na miaka 11

Babangu aliniuza katika biashara ya ngono nikiwa na miaka 11

Kayti alikuwa na miaka 11 wakati babake alipomuuza katika biashara ya ngono kwa mara ya kwanza katika mji mmoja nchini Marekani. Baada ya kunyanyaswa kwa miaka kadhaa anaeleza alichokipitia na namna hatimaye alivyo fanikiwa kutoroka.