Mchongaji sanamu maarufu anayetumia mkono mmoja Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Kevin Oduor Wesonga: Mchongaji sanamu maarufu anayetumia mkono mmoja Kenya

Mchongaji mwenye mkono mmoja ambaye ndiye aliyechonga sanamu ya Dedan Kimathi iliopo katikati ya jiji la Nairobi nchini Kenya ili kujipatia kipato.

Ripoti: Judy Wambare

Video: Judith Wambare

Mada zinazohusiana