Habari picha: Kisiwa cha Kilwa kilitengeneza Sarafu ya Kwanza Afrika Mashariki

kasri
Image caption Jumba la kale lililokuwa na vyumba 100

Historia ni mwalimu mzuri, huko katika kisiwa cha Kilwa kuna wakati ilikuwa dola inayojitawala na kusifika kwa utajiri, lakini sasa eneo hilo ni mji katika mkoa wa Lindi ulioko kusini mwa Tanzania.

Haki miliki ya picha Bodi ya Utalii Tanzania
Image caption Sarafu ya kwanza Afrika mashariki na kati

Magofu ya kilwa ni maeneo machache sana duniani, eneo hili ni kielelezo tosha kuwa Afrika mashariki ilikuwa ikijihusisha sana na shughuli za kibiashara kimataifa.

Image caption Msikiti mkuu ambao umejengwa juu ya jengo lingine chini
Image caption Muonekano wa ndani wa msikiti
Image caption Kisima kirefu ambacho kilikuwa kinatumika kama njia ya chini kwa chini

Mada zinazohusiana

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii