Mwanamke wa kwanza mtembezi wa watalii Zanzibar
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke wa kwanza mtembezi wa watalii Zanzibar

Kazi ya kutembeza wageni ama Tour Guide Visiwani Zanzibar inafanywa sana na wanaume.

Wanawake pia wapo lakini ni wachache sana na pia wanakumbwa na changamoto ya kupambana na mtazamo wa jamii kuhusu kazi hiyo.

Mwandishi wa BBC Munira Hussein amekutana na Aisha Mohammed mtembezi wa kwanza wa kike wa wageni Zanzibar.