Chembe za ubongo wa binaadamu zinapopandikizwa ndani ya tumbili?
Huwezi kusikiliza tena

Wanasayansi wapandikiza jeni za ubongo wa binaadamu ndani ya tumbili

Watafiti wa Uchina walikarabati ubongo wa tumbili ili uweze kubeba jeni ya MCPH1, ambayo wanaamini ndio kiini cha kuundwa ubongo wa binaadamu. Hichi ndicho kilichofanyika wakati jeni hiyo ya ubongo wa binaadamu ilipopandikizwa ndani ya tumbili: