Mji wa Awwaaday ulioko nchini Ethiopia unatambulika kama mji mkuu wa mirungi

Mji wa Awwaaday ulioko nchini Ethiopia unatambulika kama mji mkuu wa mirungi

Mji wa Awwaaday ulioko nchini Ethiopia unatambulika kama mji mkuu wa mirungi kwa kutokana na maelfu ya tani za miraa zinazouzwa. Kati ya dola milioni 1.1 na dola milioni 1.3 za Marekani hutumika katika biashara hiyo ndani ya mji huo kila siku husambaa katika mji huo kila siku.