Ijumaa Kuu ya mwanzo wa Pasaka ina maana gani kwako?

Ijumaa Kuu ya mwanzo wa Pasaka ina maana gani kwako?

Leo ni Ijumaa kuu. Siku muhimu kwa Wakristo duniani kote wanaienzi siku hii muhimu kuelekea siku kuu ya Pasaka.

Upendo na mshikamano ndiyo ujumbe muhimu kwa wakristo wote.um kutoka kwa papa. Lakini kwa wakristo siku hii ya ijumaa kuu ina maana gani kwao na ni mambo gani yanapaswa kuzingatiwa kama sehemu ya kuienzi siku hiyo?

Mwandishi wa BBC,Esther Namuhisa ametembelea baadhi ya makanisa jijini Dar es salaam kutathmini namna hali ilivyo siku hii ya Ijumaa kuu.