Kikosi hicho kinawahusisha watu wenye umri wa miaka 50 na zaidi

Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ameahidi kuwasajili wapiganaji wengine zaidi ya milioni moja kwenye kikosi cha kujitolea mwaka huu.