Shambulio la makanisa Sri Lanka

Zaidi ya watu 200 wauawa baada ya makanisa na hoteli kushambuliwa

Picha zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii zinaonesha paa la jengo la kanisa lililoharibiwa vibaya. Karibu watu 67 wameripotiwa kufariki ndani ya kanisa hilo.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha,

Picha zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii zinaonesha paa la jengo la kanisa lililoharibiwa vibaya.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha,

Watu 27 wameripotiwa kufariki katika kanisa la Zion mjini Batticaloa.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha,

Karibu watu 67 wameripotiwa kuuawa ndani ya kanisa hili.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha,

Wakaazi waliyolemewa na majonzi wanaonekana wakilia kwa machungu

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha,

Makasisi wa kanisa la St Anthony Shrine mjini Kochchikade wanaonekana kuzidiwa na masikitiko. Hili ni moja ya makanisa yalioshambuliwa.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha,

Vikosi maalum nchini Sri Lanka vimekuwa vikifanya msako mkali katika makazi ya karibu na makanisa yaliyoshambuliwa kwavilipuzi.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha,

Bomu lilipuka wakati vikosi maalum vilipokua vikifanya msako katika nyumba moja karibu na mji wa Colombo

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha,

Maafisa wa kikosi maalum cha Sri Lanka wamepigwa picha wakati wa msako kwenye makaazi ya kibinafisi

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha,

Sehemu ya ndani ya kanisa ilivyoharibiwa kwa vilipuzi.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha,

Maafisa wa usalama wameonekana wakishika doria katika makanisa nchini Pakistan baada ya shambulio dhidi ya makanisa Sri Lanka.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha,

Picha zilizopigwa mjini Quetta, mashariki mwa Pakistan, zinawaonesha waumini wakiingia kanisani huku maaskari wakiwa wameshika doria juu ya paa.

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha,

Kiongozi wa kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amelaani vikali mashambulio hayo.