Tanzania: The voices kundi la vijana wanaotumia sauti zao kuunda muziki
Tanzania: The voices kundi la vijana wanaotumia sauti zao kuunda muziki
Leo ikiwa ni jumatatu ya pasaka shamrashamra za Sherehe za pasaka bado zinaendelea.
Na BBC imeweza kufanya mazungumzo na Kundi moja la vijana wanaofahamika kama The voices ambao wamekuwa wakisifika sana katika mitandao ya kijamii kwa kuimba nyimbo za dini katika mfumo wa Accapela
Je unajua vijana hao wanaimbaje na kwa nini waliamua kuimba kwa mtindo huo?
Esther Namuhisa aliweza kuzungumza nao….