Kimbunga Tanzania: Usiku wa leo, kimbunga hicho kitakuwa kilomita 250 kutoka pwani ya Mtwara

Kimbunga Tanzania: Usiku wa leo, kimbunga hicho kitakuwa kilomita 250 kutoka pwani ya Mtwara

Kwa mujibu wa TMA, eneo husika ambalo kimbunga hicho kitatua (landfall) litakuwa nchini Msumbiji, kikiwa na kasi ya kilomita 100 kwa saa. Eneo hilo litakuwa kilomita 200 kutoka pwani ya Mtwara