Mtazamo wa mtoto anayepambania haki ya mama yake aliyeuawa

Daphne Caruana Galizia, 2011 file pic Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Daphne Caruana Galizia alichapisha ripoti kuhusu rushwa

Mara moja kila mwezi napaswa kukaa ndani na mtu anayemchunguza mauaji ya mama yangu.

Familia yetu kwanza ilikutana naye miaka sita iliyopita wakati alipokuja nyumbani kwetu kumkamata.

Mama yangu alikuwa amechapisha kwenye blogu mapungufu ya mgombea wa nafasi ya waziri mkuu siku ya uchaguzi na mmoja wa waliokuwa wakimuunga mkono walitoa ripoti polisi.

Hivyo mpelelezi alitumwa nyumbani kwetu usiku totoro akiwa na hati iliyosainiwa kwa ajili ya kumkamata kwa kuvunja sheria.

Ninafanya kazi katika upande mwingine wa dunia na watu walikuwa wananitumia video zake akiwa ameachiwa huru kutoka kituo cha polisi mnamo saa saba na nusu huku akiwa amevaa shati ya baba yake.

Muda mfupi baadae, alirudi katika mtandao na kuandika kuhusu unyanyasaji huo katika tovuti yake, uliokuwa kati ya muonekano wa waziri mkuu kiusalama na na kukejeli muonekano wake.

"Ninaomba radhi kwa kuwa nilikuwa sijavaa nguo wakati kikosi cha usalama kilipokuja kunivamia nyumbani kwangu usiku ...

kuchana nywele zako, toa poda na kuchagua nguo nzuri ya kuvaa lilikuwa jambo la mwisho kufikiria ," alisema.

Kwa sasa askari huyohuyo ambaye alimkamata mama yangu usiku huo alikutwa hatiani kwa kufanya uchunguzi wa kesi ya mauaji ya mama yake.

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Matthew akiwa na mama yake, Daphne

Siku hiyo mama yangu alipouliwa, Daphne Caruana Galizia, aliendesha mpaka benki ili kupata haki ya kutumia akaunti ambayo ilikuwa imesiitishwa kutumika baada ya serikali kutaka ifungiwe na serikali.

Amefikisha umri wa miaka 53 na alikuwa na miaka 30 ya uzoefu wa kazi ya uandishi wa habari.

Kulikuwa na chombo chenye uzito wa kilogramu moja kilikuwa kimewekwa kwenye siti ya nyuma na kuongozwa kwa rimoti.

Ingawa wengine walishutumu kuwa nimepanga mauaji mwenyewe au mama yaku alikuwa radhi kuhatarisha maisha yake

Mauaji ya Daphne Caruana Galizia

  • Oktoba 2017: Uchunguzi kuhusu mwandishi Daphne Caruana Galizia kuuwawa na bomu katika gari lake
  • Waziri mkuu Joseph Muscat alielezea mauaji hayo kuwa ya kikatili, alizungumza hayo wakati wa mazishi
  • Disemba 2017: wanaume watat walikamatwa ili kuchunguzwa kama wamehusika na mauaji hayo

Kwa nini mauaji haya yalifuatiliwa sana?

"Maoni na ushaidi wa watu na tasnia nzima ya habari ilitengeneza jumuiya ambayo ilikuwa huru na sawa

Kaka yangu aliwatafuta wanadiplomasia wa ulaya wakati tukiwa bado kwenye majonzi".

"Ilitengeneza jumuiya ambayo tajiri na kupiga kelele, kwa ligha nyingine ni kuwa jumuiya ambayo ni nzuri kwa mtu kuishi."

Baada ya mauji ya mama yetu, nuru yetu pekee ilikuwa ni kuungwa mkono, majonzi na majuto kutoka kwa watu aina mbalimbali.

Kilichonishangaza ni kitu ambacho kilikuja kwenye frikra yangu na rafiki yangu aliwahi kuniambia,"watu

Watu walikuwa na shauku ya kuishi eneo ambalo liko huru na wazi, sehemu ambayo sheria zilikuw sawa kwa kila mtu na haki za binadamu zinazingatiwa kwa wote.

Lakini inawezekana tumechelewa sana tulipogundua kuwa watu wabaya wachache, ambao walikuwa kama wagonjwa watakuwa na sisi kokote kule.

Kazi ambayo kaka zangu , baba yangu na mimi tumejitengenezea tangu mama yetu auwawe, haki ya uchunguzi wa kesi ya mama yetu kupatikana ili jambo kama hili lisijirudie.

Kuna muda mdogo kwa kila kitu.

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Matthew (kushoto) na kaka yake Paul wanafanya kampeni ya kutafuta haki ya mama yao

Mimi na familia yangu, mara nyingine huwa tunaongea kuhusu namna ya kuwa na subira na hatua tunayoichukua ili tusitofautiane na wengine haswa waliokuwa katika wadhifa serikalini.

Tunapata wakati mgumu wa kubaini udhaifu wao .

"Tumekuwa tunavuka ukuta mmoja mpaka mwingine tangu mama yetu auwawe"

Tumeweza jumuisha wengine kupambana na ugonjwa huo wa kutokuwa na haki na kufundisha ulimwengu kufundisha haki za binadamu .

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Maandamano yanayodai haki ya mwandishi Daphne Caruana Galizia

"Uhuru ulianza kwa kuwa na uhuru wa dhamira,"

" Bila mtu kuwa na fikra ya uhuru wa kweli ,Ni kitu gani unaweza kukifanya kukiwa na uhuru?"

Kama vile mama yetu alivyouwawa, kifo chake kilituonesha kuwa uhuru auheshimiwi katika nchi zetu.

Sio sisi pekee , ambao tumeachwa nyuma bila kupigania uhuru wao, familia, marafiki na waandishi waliofungwa.

Majukum haya yako mabegani kwetu lakini hatuwezi kuyabeba peke yake. Tunahitaji watu wazuri kila mahali kuungana nasi.

Siku ya uhuru wa habari

  • Siku ya uhuru wa habari duniani ilianzishwa na Umoja wa kimataifa mwaka 1993 na kusheherekewa kila tarehe 3 mwezi Mei kila mwaka
  • Kauli mbiu ya mwaka huu 2019 ni kuwa Uandishi wa habari na Uchaguzi katika nyakati za kutoa taarifa isiyo sahihi
  • Mwaka jana , waandishi 95 na watu walilengwa kuuwawa, kwa mujibu wa jumuiya ya kimataifa ya Waandishi wa habari

Najua tuko zaidi ya sisi. Kumbuka Jamal Kashoggi ambaye alipendwa na watu kila kona. Jamal Khashoggi

Na mtu mmoja tu ndio alimchukia na kupelekea mwandishi huyo kuuwawa.

Katika mauji haya, kuna dalili ndogo au hakuna dalili hata kidogo katika harakati hizi kuleta maana kwa watu ambao wanahusika.

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Mwandishi wa Saudi Jamal Khashoggi aliuwawa mwezi oktoba 2018

Kundi la hiki za binadamu kimesema kama tunawapenda kweli na tunataka wapendwa wetu waendelee kuwa jinsi walivyo basi mtu kama Daphne ni mpiganaji na shujaa.

Kitu ambacho mama yetu hajui ni kuwa kifo chake kimewahamasisha wengi, nadhani kitendo chake kimekuwa mfano kwa namna moja au nyingine kimewafanya waandishi kujilinda na kuwa werevu hata kuwalinda wenzao.

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii