Watu wenye ulemavu waomboleza kifo cha Mengi
Huwezi kusikiliza tena

Ukarimu kwa watu wenye ulemavu ni miongoni mwa sifa zinazoendelea kuenziwa kwa Dr.Mengi

Kila mwaka Dr. Reginald Mengi alijiwekea utaratibu wa mwaka mpya unapoingia huwa anaamdaa chakula cha mchana na kula na wenye ulemavu wa kila aina nchini Tanzania .

Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP na moja ya watu matajiri na mfanya biashara mashuhuri nchini Tanzania na duniani Dr Reginald Mengi amefariki dunia alfajiri ya leo mjini Dubai falme za kiarabu alikokuwa kwa mapumziko na familia yake.

Mada zinazohusiana