Mtoto wa miaka 8 anayefunga Ramadhani
Huwezi kusikiliza tena

Ramadhani njema: Kuna umuhimu gani wa mtoto kufunga?

Mamilioni ya Waislamu duniani kote wanaadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani kila mwaka kwa kufunga, kusali na kufanya matendo mema.

Nadia ni mtoto mwenye umri wa miaka 10 anayeishi Mombasa, Kenya na alianza kufunga tangu akiwa na umri wa miaka nane.

BBC ilikutana na mtoto huyo ambaye amesimulia jinsia alivyoanza kufunga na kwa nini ni muhimu kwake kufunga.

Mada zinazohusiana