Haki 5 za binaadamu zilizovunjwa zaidi Tanzania 2018
Huwezi kusikiliza tena

LHRC: Haki 5 za binaadamu zilizokiukwa zaidi Tanzania 2018

Ripoti mpya ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu imezinduliwa leo iliopewa jina "Ukatili wa Kingono: Tishio kwa Haki na Ustawi wa Mtoto Tanzania".

Imeeleza kwamba, haki ya kwanza kuvunjwa ni haki dhidi ya ukatili inayotokana na kwa kiasi fulani imani za kishirikina huku watoto wenye ulemavu bado wakibaguliwa na kukabiliwa na ukatili...ikiwemo kufichwa.