Mbona mtindo wa kufinika miti na maua kwa neti unaongezeka?
Huwezi kusikiliza tena

Kwanini mtindo wa kufunika miti na maua kwa neti umekuwa maarufu?

Mtindo wa kufunika kwa neti miti au maua yanayozingira makazi unapaswa kutupiliwa mbali au angalao kudhibitiwe. Wabunge nchini uingereza wanasema kuwa hali hiyo inaathiri ukuaji wa ndege kwa kuwa wao hujenga viota vyao kwenye miti hiyo. Je tabia hii ya kufunika miti kwa neti umeiona katika eneo lako? Sema nasi kwenye ukurasa wa Facebook, bbcnewsSwahili.

Mada zinazohusiana