''Sijutii kuchora sehemu za siri za wanawake katika vyoo vya umma''
Huwezi kusikiliza tena

'Sijuti kuchora sehemu za siri za wanawake katika vyoo vya umma'

Uchoraji wa sehemu za siri za wanawake unazidi kukithiri hasa kwenye milango ya vyoo katika maeneo mbali mbali mjini London .Hii ni kampeini ya kuinua hadhi na mtazamo kuhusiana na jinsi mwili wa mwanamke ulivyo ".Je nini maoni yako kuhusu uhamasisho wa mwili wa mwanamke kwa njia chanya Zaidi?

Mada zinazohusiana