'Nitawajibu vipi Mimi sio kahaba'
Huwezi kusikiliza tena

Taarifa ghushi zinatuathiri watu maarufu

Taarifa ghushi kuhusu vifo vyao, familia zao, wapenzi wao na kazi zao zimeathiri maisha ya watu wengi maarufu duniani. Ni taarifa ambazo wakati mwingi huwa zinaenea sana katika mitandao ya kijamii.

Sheila Mwanyiga ni mwanahabari na pia mwimbaji nchini Kenya.

Yeye amekuwa muathiriwa wa taarifa ghushi na anaelezea jinsi maisha yake yalivyoathiriwa na taarifa hizo za uongo.

Mada zinazohusiana