Kinyozi wa Congo anayetumia sanaa kunyoa mitindo
Huwezi kusikiliza tena

George Dufanda: Talanta kubwa ya kinyozi wa Congo anayetumia sanaa kunyoa mitindo

George Dufanda ni kinyozi raia wa Jamhuri ya Kidmoekrasi ya Congo anayeishi Kenya.

Yeye anatumia sanaa kunyoa mitindo ya nywele kwa kutumia mashine ya kaaida ya kunyoa.

Kipaji chake kimevutia wateja kedekede wakiwemo wanasiasa, wasanii na hata wachezaji soka nyota wa kimataifa. Hatahivyo kuna watu wawili ambao anatamani sana angepata fursa ya kuwanyoa. Je ni kina nani?

Picha: Gloria Achieng na Ashley Lime.

Mada zinazohusiana