Watoa huduma za kitalii walilia pendekezo la kuidhinishwa magari ya umeme Mlima Kilimanjaro
Watoa huduma za kitalii walilia pendekezo la kuidhinishwa magari ya umeme Mlima Kilimanjaro
Umoja wa watoa huduma za kitalii kwenye hifadhi ya Mlima Kilimanjaro wamelipokea kwa hisia tofauti wazo la serikali ya Tanzania la kutaka kuanzisha utalii wa siku kwa kutumia magari ya umeme.
Kwa mujibu wa taarifa za awali njia inayopendekezwa ni ile ya Machame ambayo kwa watoa huduma, ndio njia inayotumika na wageni zaidi kuliko njia nyingine zote kuelekea mlimani.
Eagan Salla akiwa mkoani Kilimangaro alizungumza na wadau mbali mbali:

Mt Kilimanjaro: Tanzania kuanzisha usafiri wa angani katika mlima huo - Ni usafiri gani huo?
Tanzania inataka kuongeza idadi yake ya watalii kupitia magari ya kutumia nyaya katika mlima Kilimanjaro , ambao ndio mrefu zaidi barani Afrika