Picha bora za Afrika: Kati ya tarehe 10-16 Mei 2019

Baadhi ya picha kutoka nchi tofauti Afrika wiki hii:

Mvulana wa kiislam akisoma Koran mjini Cairo, Misri Jumapili wakati wa mfungo wa mwezi wa Ramadhan Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Mvulana wa kiislam akisoma Koran mjini Cairo, Misri Jumapili wakati wa mfungo wa mwezi wa Ramadhan
Katika siku hiyo hiyo , Waumini wa dini ya kiislam walikuwa wamekusanyika kusherehekeamaadhimisho ya 1,079 ya msikiti wa Al-Azhar mjini Cairo, kabla ya Iftar Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Katika siku hiyo hiyo , Waumini wa dini ya kiislam walikuwa wamekusanyika kusherehekeamaadhimisho ya 1,079 ya msikiti wa Al-Azhar mjini Cairo, kabla ya Iftar
Maili nyingi kutoka Misri katika kisiwa cha Ibo, Waislam wa Msumbiji wakinywa pamoja maji ya chupa kufungua kabla ya swala ya jioni , Jumatatu Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Maili nyingi kutoka Misri katika kisiwa cha Ibo, Waislam wa Msumbiji wakinywa pamoja maji ya chupa kufungua kabla ya swala ya jioni , Jumatatu
Ijumaa, waandamanaji wenye kiu ya mabadiliko wakipeperusha bendera kwenye majikatika mji mkuu Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Ijumaa, waandamanaji wenye kiu ya mabadiliko wakipeperusha bendera kwenye majikatika mji mkuu
Huku wanawake wa Kisomali wakikunja Burqa zao na kuandaa chakula kwa ajili ya Iftar iliyoandaliwa na kundi la misaada la Uturukii TDV mjini Mogadishu Jumatano Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Huku wanawake wa Kisomali wakikunja Burqa zao na kuandaa chakula kwa ajili ya Iftar iliyoandaliwa na kundi la misaada la Uturukii TDV mjini Mogadishu Jumatano
Mwanamke mwenye akitabasamu huku akiwa amembeba mwanae mgongoni mjini Harare Zimbabwe siku ya Jumamosi Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Mwanamke mwenye akitabasamu huku akiwa amembeba mwanae mgongoni mjini Harare Zimbabwe siku ya Jumamosi

Na wafuasi wa chama tawala cha Afrika kusini African National Congress (ANC) wakionyesha umahiri wao wa kudensi walipokuwa wakisubiri hotuba ya rais Cyril Ramaphosa nje ya makao makuu ya ANC mjini Johannesburg siku ya Jumapili Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Na wafuasi wa chama tawala cha Afrika kusini African National Congress (ANC) wakionyesha umahiri wao wa kudensi walipokuwa wakisubiri hotuba ya rais Cyril Ramaphosa nje ya makao makuu ya ANC mjini Johannesburg siku ya Jumapili
Ni shughuli ya kijiji kizima kudensi na muungu gulewamkulu ... hawa wafuasi wa Lazarus Chakwera, kiongozi wa Malawi Congress Party (MCP), chama kikuu cha upinzani wakidensi katika mji mkuu Lilongwe Jumapili Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Ni shughuli ya kijiji kizima kudensi na muungu gulewamkulu ... hawa wafuasi wa Lazarus Chakwera, kiongozi wa Malawi Congress Party (MCP), chama kikuu cha upinzani wakidensi katika mji mkuu Lilongwe Jumapili
Lakini hali ni ya majonzi nchini DRC siku ya Ijumaa , wakati watoto watatu wakionekana kwenye dirisha la basi lililopasuka lililokuwa likiwasafirisha wakiimbizi wa Sudan kusini kutoka kwenye mji wa mpaka wa Kongo wa Biringi... Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Lakini hali ni ya majonzi nchini DRC siku ya Ijumaa , wakati watoto watatu wakionekana kwenye dirisha la basi lililopasuka lililokuwa likiwasafirisha wakiimbizi wa Sudan kusini kutoka kwenye mji wa mpaka wa Kongo wa Biringi...
Huku mwanamke huyu mkimbizi wa Sudan Kusini akionyesha vazi hili la kitenge chake lenye rangi za kuvutia katika kambi ya wakimbizi ya Biringi, katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Jumapili Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Huku mwanamke huyu mkimbizi wa Sudan Kusini akionyesha vazi hili la kitenge chake lenye rangi za kuvutia katika kambi ya wakimbizi ya Biringi, katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Jumapili
Presentational white space
Mwanamke wa Zimbabwe akimsuka msichana nywele katika mji mkuu Harare, Jumatatu Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Mwanamke wa Zimbabwe akimsuka msichana nywele katika mji mkuu Harare, Jumatatu
Na muandamanaji mwanawake wa Nigeria akipinga ubaguzi wenye misingi ya jinsia mjini Abuja siku ya Ijumaa Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Na muandamanaji mwanawake wa Nigeria akipinga ubaguzi wenye misingi ya jinsia mjini Abuja siku ya Ijumaa
Barabara ni ndefu ... Muandamanaji akitembea kwenye reli wakati alipokuwa akielekea kwenye eneo la maandamano katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum, Jumapili Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Barabara ni ndefu ... Muandamanaji akitembea kwenye reli wakati alipokuwa akielekea kwenye eneo la maandamano katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum, Jumapili

Picha : Getty Images

Mada zinazohusiana

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii