Kuponea kifo katika mji unaoshambuliwa wadunguaji
Huwezi kusikiliza tena

Yemen: Kuponea kifo katika mji 'unaoshambuliwa' na wadunguaji

Taiz ni mji wa tatu kwa ukubwa nchini Yemen. Wakati mmoja ulisifika kwa maendeleo lakini sasa umebakia mahame na magofu ya majumba yaliyoporomoka- baada ya kuathiriwa vibaya na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Watu ambao bado wanaishi katika mji huo wamejipata katikati ya mashambulio kati ya waasi wa Kihouthi na vikosi vinavyounga mkono serikali ya Yemen. Hakuna hata mtu mmoja aliyesalama.

Mada zinazohusiana