'Ujengaji misuli ni kama hekalu langu'
Huwezi kusikiliza tena

Sheetal 'Strong' Kotak: 'Ujengaji misuli umenisaidia kupambana na msongo wa mawazo'

Sheetal Strong Kotak, alikabiliwa na msongo na mawazo akiwa miaka 10 iliyopita, lakini baada ya kuanza kujenga misuli mwilini, amefanikiwa kuimarisha nguvu ya mwili na akili yake.

Video: Njoroge Muigai na Millicent Wachira.