Kahaba Sierra Leone: ‘alinilipa $0.50 nishiriki naye ngono’
Huwezi kusikiliza tena

Wasichana wadogo wajitumbukiza katika biashara ya ngono tangu kumalizika kwa mlipuko wa Ebola Sierra Leone

Mlipuko wa Ebola nchini Sierra Leone, ulitokea zaidi ya miaka mitatu iliyopita. lakini athari yake bado ipo. Mashirika ya misaada yanasema yameshuhudia ongezeko la wasichana wadogo walio katika biashara ya ngono. Tangu kumalizika kwa mlipuko wa Ebola mwanzoni mwa 2016. Baadhi ya wasichana hao ni miongoni mwa maelfu ma mayatima ambao wazazi wao walifariki kutokana na ugonjwa wa Ebola.