Kupiga danadana kumebadilisha maisha yangu
Huwezi kusikiliza tena

Hadhara Charles Mcheja: 'Kupiga danadana kumebadilisha maisha yangu'

Hadhara Charles Mcheja ni mtanzania aliyesifiwa na rais wa Marekani Donald Trump, kupitia mtandao wa Twitter kwa mtindo wake wa kupiga danadana mpira , kuwa ana kipaji kinachostahili kukuzwa.

Baada ya kipaji hicho kutambuliwa na Trump, sasa anashukuru kwa ufadhili na mikataba mbalimbali anayoopata.

Na kudai kuwa kipaji hicho kimeweza kubadilisha maisha yake.

Mchezaji mwenye miaka 29 anaondoka leo kwenda Hispania kwa ajili ya kuonyesha namna anavyoweza kupepeta mpira.

Video:Eagan Salla